swali la kizushi: Ulikuwa unatafuta nini kule chini ya daraja??????????leo nimemkuta huyu ndugu akiwa amestarehe chini ya daraja la mkapa, ambapo anadai ni makazi yake, na nilipoangazaangaza niliona blanketi kwa pembeni.
Alikuwa hana wasiwasi, huku akipata chakula cha mchana, ugali+samaki aliowavua hapohapo kwenye mto rufiji.
Je wadau, kuna usalama kwa mwenzetu huyu anayelala hapo,ukizingatia mto rufiji una mamba kibao?
Na je hakuna madhara kwa maisha ya daraja kwa kitendo cha kuzuka kwa makazi na shughuli za binadamu chini yake?swali la kizushi:ulikuwa unatafuta nini kule chini ya daraja hadi ukamkuta ???/?
View attachment 31960
View attachment 31961
View attachment 31962
Pembeni mwa daraja kuna kibanda cha polisi ambao hawafiki siku hizi.maisha bora kwa kila mtanzania na kasi zaidi,nguvu zaidi na kasi mpya!!!!!!!!!!!!!kaaaazi kwelikweli hv hili daraja halina ulinzi???maana kuna kipindi nilisikia watu wanaiba nati na kung'oa vyuma
Mkuu, kama unavyoona picha,huwa anakamata samaki hapohapo kwenye maji, na anawachoma, sometimes anawauza na kurudi na kilo za unga, then maisha yanaendelea!PJ, huyo mtu ina maana kuna shughuli za kujiingizia kipato anazofanya hapo hawezi tu kuwa analala na kuamka, je uliuliza ni shughuli gani?
Huyo jamaa atakuwa jambazi tu.mzee chini ya daraja ulikuwa unatafuta totoz nini?
Jamani, maswali magumu haya!kaka sio ulikuwa unaenda kuchimba dawa.. wewe!
PJ, huyo mtu ina maana kuna shughuli za kujiingizia kipato anazofanya hapo hawezi tu kuwa analala na kuamka, je uliuliza ni shughuli gani?
kaka sio ulikuwa unaenda kuchimba dawa.. wewe!
swali la kizushi: Ulikuwa unatafuta nini kule chini ya daraja??????????
Jmani suali hili mbona mmelikomalia...Hoja ya msingi hamuioni?Kazi nzuri pj, na wewe ulifuata nini darajani?pale si mahali salama kabisa au huyu jamaa ni mmoja wa watekaji magari pale?