makatunisti bhana

KML

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
861
133
Eti mke kamkunja mme wake uku anampiga alafu anamwambia
Mke: (kofi) niahidi kama utaacha kuleta malaya zako humu ndani kwangu
Mme: (uku akilia) nakuahidi mke wangu sitoludia tena kuleta wanawake ndani kwetu nakuahidi ntakua nawapeleka gesti
 
Mwingine yupo na mpenzi wake bar mke anamuuliza
Demu: dear mbona unakunywa pombe kwa masikitiko ivyo
Mshikaji:pesa ya marejesho ya mkopo wa pride hii ndo nainywea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom