CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 156
Wanajamvi,tunaombeni msaada wenu!
Kuna jamaa alikuwa na mkopo ktk bank fulani (unsecured salary loan).
Alichukua 40,000,000 Tshs toka May, 2012 na amekuwa akilipa takribani 1,600,000 Tshs kila mwezi.
Amepata retrenchment (on operational requirements) na analipwa takribani 18,000,000 Tshs (net in bank) kama mshahara wa Dec, 2013 + marupurupu mengine.
Akisema amalizane na masuala ya mkopo atatakiwa kulipa 24,000,000 Tshs cash.
UKWELI:
Inasemekana hiyo 18,000,000 Tshs imeingia bank lkn account haioneshi kama kuna pesa imeingia.
Employer anasema ameshaweka pesa hiyo bank.
SWALI:
Inawezekana employer akawa amewasiliana na bank na kusema huo mzigo (18,000,000 Tshs) nd'o mzigo wa mwisho kwamba bank isitegemee pesa nyingine toka kwa employer kwa ajili ya huyo employee na hivyo bank imeamua kui-freeze hiyo pesa?
Kama ni hivyo, ni haki ku-freeze pesa yote ya mtu bila kukaa naye na kupanga alternatives za malipo ya mkopo?
Kama wamekosea huyo mfanyakazi afanyeje?
N.B: Bado hajawaona bank kujua sababu (kwa sababu ya wk-ends na kuwa na moyo wa kuvuta subira akidhani account ingesoma ndani ya siku 2 hizi) - ana mpango wa kuwaona bank kesho.
ANAHITAJI USHAURI (KUTOKANA NA HOFU YAKE YA PESA KUWA WITHHELD)