Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,705
Hawa HESLB hata siwaelewi, wanaongea tuu na kupiga kelele. lakini hawasemi makato ni asilimia ngapi ya pato la mtu.
Ndio maana watu wanaohopa wasije jipeleka huko wakaishia kulipa fedha nyingi na kuongeza ugumu wa maisha.
Wanayakiwa kuweka wazi na wadai wachangie ili kuboresha mfumo mzima utakao wapa wepesi warejeshaji.
Vitisho wanavyo toa si njia sahihi, njia sahihi ni kuboresha mfumo.
Mfano mtu kamaliza chuo na kajiajili utampata wapi kwa mfumo wa sasa. Inavyo onyesha hawajajipanga kabisa wanapiga kelele kuogopa rungu la magufuli.
Labda mimi ndio sijui makato yamekaaje , wanao jua watujuze.