Makato ya HESLB ni kiasi gani?

Makato ya HESLB ni kiasi gani?

8% ya take home yako, ukienda pale mwenge kwenye ofc zao watakuelekeza, wanakataa boom, stationery, fees nk hela yao yoote waliyokupa, na ukichelewa wanaangalia muda ulio maliza chuo na thamani ya fedha kwasasa
ni asilimia nane sawa ,lakini kuna deni unaongezewa kwa ajili ya retention ya pesa yao , ni hela nyingi kiasi, sema wameongeza kimya kimya bila ya kuwaataarifu wadaiwa
 
Back
Top Bottom