Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,545
- 63,023
Demu wako.Shemeji yupi.?
Demu wako.Shemeji yupi.?
Eeh... pole kaka.Bado sijajisajili team hiyo bro..
Husna anakutafutaNawasalimia tu mimi ndugu yenu wala sina jipya.
Oooh safi mm niko mbali Sana Mkuu huku hata bia hknMangi vipi...
Leo nakula beer za ntwala..
Wow..! Kumbe tumethianaa basi mworooroooNilikumithii pia shemeji yangu.
Mkuu umelipia tangaZo ?!
Hizo ndo bei za package zetu zote.Ukihitaji kufatwa ulipo unaongeza *20000*.Kwa wateja wa kufatwa utachagua package unayotaka utafanya malipo nusu ndipo utafatwa.
.
Office zetu kwa *Dar* tupo *Sinza C* karibu na *The Law School of Tanzania* (Mawasiliano)nyumba number 21.
.
Office zetu za *Dodoma* tupo *Uzunguni* ilipokua *Kilimanjaro Villa* zamani gate number 11.
.
Karibu sana *Loveness Massage* for the best massage services.Tupo wazi siku zote... Kama una swali lolote niulize nitakujibu!
Nawasalimia tu mimi ndugu yenu wala sina jipya.
JamaniHusna anakutafuta
Nilikuwa namuokoa Da vinci bhana..!Mkuu umelipia tangaZo ?!
Husna anakutafuta
Good......tupo naye hapa tunalea kitoto changu cha kusingiziwa
....tupo naye hapa tunalea kitoto changu cha kusingiziwa
Na makucha yake ya kuishi bila mtoto mlito!Kumekuchaaaa