Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 153,020
- 454,039
Hahaha tekno hakunaTecno hamna?
Hahaha tekno hakunaTecno hamna?
Au anukie kama beberu mwanaume unatikiwa unukie vizuri sio kunuka kikwapa kama beberuyaani akiwa na muonekano mzuri halafu mchafumchafu havitii hata!
Kikwapa kinaboa jamani dah!Au anukie kama beberu mwanaume unatikiwa unukie vizuri sio kunuka kikwapa kama beberu
😂😂Wanatuhujumu hawa na vitekno vyetu!Hahaha tekno hakuna
Oooh, safi sana kijana, kaa humoAsali ya moyo.. nimeiita kwa kubana pua..
Kwani kuitwa hivyo ndio kukaa we unavyoniitaga mpenzi ni kwamba umekaa au unaamua tu kuniitaOooh, safi sana kijana, kaa humo
Wanasemaga tecno sio simu ni calculator etiWanatuhujumu hawa na vitekno vyetu!
Sanaaa jamani woiii ukutane na lijanaume linanuka sasa daaahKikwapa kinaboa jamani dah!
😁😁😁 JamaniiiWanasemaga tecno sio simu ni calculator eti
Hahahaha, namzingua tu kijanaKwani kuitwa hivyo ndio kukaa we unavyoniitaga mpenzi ni kwamba umekaa au unaamua tu kuniita
Kwahiyo achana na calculator nunua simu yaani simu sijui umenielewaJamaniii
Kwahiyo achana na calculator nunua simu yaani simu sijui umenielewa
Sawa Shunie...Hii calculator kweli haifai.. Ngoja sikukuu ziishe na Mwezi Januari...Na mimi ninunuepo I phone yenye macho matatu😁Kwahiyo achana na calculator nunua simu yaani simu sijui umenielewa
Ya macho matatu mbona mbali sana nunua iphone ya jicho moja tuSawa Shunie...Hii calculator kweli haifai.. Ngoja sikukuu ziishe na Mwezi Januari...Na mimi ninunuepo I phone yenye macho matatu
Sijambo mpenzi uko poaHujambo aunt...
Niko powa mimi dear,niliwamiss humuSijambo mpenzi uko poa
Tumekumiss pia mama karibuNiko powa mimi dear,niliwamiss humu
EeeehhToka sikui ile ukulwe na yule jamaa kwenye mikahawa..
No need, leave it as it is!!Go back to your archives then,
Hatimae umefufukaSamalam makapuku