Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,384
- 110,094
Asali ya moyo.. nimeiita kwa kubana pua..hunnie ndio nani?
Asali ya moyo.. nimeiita kwa kubana pua..hunnie ndio nani?
Haya mtoto mlito..[emoji134] mweusi bwana
Nani alimuiba eti jamani
Sikumbuki niliuliza nini mimiAlikujibu?
Toka sikui ile ukulwe na yule jamaa kwenye mikahawa..[emoji41][emoji41]Acha kunionea jamani!!
Tangu lini nikachepuka etii
Kwa nini anachepuka eti
Sikumbuki niliuliza nini mimi
Kwa wenyewe wenye fweza ! Mara umebonyeza kwa Accident! Ikaja hapo..kukancel lazma jasho likutoke na simu utaitupa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa wenyewe wenye fweza ! Mara umebonyeza kwa Accident! Ikaja hapo..kukancel lazma jasho likutoke na simu utaitupa!
Tecno hamna?😁
😀 yaani akiwa na muonekano mzuri halafu mchafumchafu havitii hata!Ndio ndio [emoji847]View attachment 1287519
Hahaha tekno hakunaTecno hamna?[emoji16]