HahahahaWe mzee mtuchake kuna ujumbe wako hukuView attachment 1204415
Hahahah kweli jamaniMdogo wangu nimejikuta nacheka eti kibonge, cheus mangala aka mtoto mlito hahaha
Na wewe si uko na kitambi we mzeeHahahaha
Unafanyaga hayo mazoezi sasaHapa wanatuvuruga
Mazoezi nafanya Mara nyingi tuUnafanyaga hayo mazoezi sasa
Commercial break sio ?Tutaendelea baadae na je wajua
Hahahaha, hebu acha hizo sina kitambiNa wewe si uko na kitambi we mzee
Sema kweli we mzeeMazoezi nafanya Mara nyingi tu
Ndio ndioCommercial break sio ?
Na mabeer yote unayokunywa we mzee kwahiyo huna kitambiHahahaha, hebu acha hizo sina kitambi