Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,621
Shikamoo kaka ningendakoHaha tupo shunie....habari ya uzima?
Shikamoo kaka ningendakoHaha tupo shunie....habari ya uzima?
Heshima yako shemelaZaidi ya kicheko siongezi tena neno
Marhaba dada ake...salama huko?wawili wanaendeleaje ?Shikamoo kaka ningendako
Kwema ankooo?Hamjambo humu ,ndugu zangu
Duuh!!Sakayo njo uone nguvu ya kojoView attachment 1182496
Heshima yako pia shem..... Mambo yanaenda?Heshima yako shemela
Hahahaha,ankoo kwema, upo ? Safi sana,nilikua nawasalimuKwema ankooo?
HahhahahahZaidi ya kicheko siongezi tena neno
Safi baba wawili kijana mpole za weweHaha tupo shunie....habari ya uzima?
Ahahahaha sijitoi ufahamu hata baba wawiliUnanijitoa ufahamu eeh
Mary kapotea hayupo jukwaa loloteDada Hivi marrybaby kahamia jukwaa gani, vile humu simwoni
Ngoja nijiteke na ole wenu mnitafuteJiteke na ww
Mary kapotea hayupo jukwaa lolote
Baba wawili ningendako mjomba ako hatimaye kaonekana ulikuwa unamtamfutaHamjambo humu ,ndugu zangu
Vipi we mzeeDuuh!!
Sisi wazima sanaHahahaha,ankoo kwema, upo ? Safi sana,nilikua nawasalimu
Kojo Mzee mwenzanguVipi we mzee
Nakusubiri akiiNitarudi tena baadae