Sir anasaidia mzee, vipi huko?Kwema kaka,mishe vipi pande hizo
Hahah acha mimi niwe mchekaji tuEti King ni nani huyo anayemzungumzia kijana mpole baba wawili ningendako
Kwahiyo King hutii neno loloteHahah acha mimi niwe mchekaji tu
Haha tupo shunie....habari ya uzima?Hata me naona mmetekwa baba wawili kama kawaida yenu
Unanijitoa ufahamu eehEti King ni nani huyo anayemzungumzia kijana mpole baba wawili ningendako
Hahah...Shunie mimi nimebaki na je wajua yangu kama kawaida yangu
Sir anasaidia mzee, vipi huko?
Chanzo chake fahamu zaidi
Kwahiyo King hutii neno lolote
Leo umepita wapi manake umejitahidi hujapost je wajua ya kukazana..Sakayo njo uone nguvu ya kojoView attachment 1182496
Zaidi ya kicheko siongezi tena nenoKwahiyo King hutii neno lolote
Naona mmetekwa
Kukumiss tu mtoto mlitoNiko apa kuna jipyaaa
MfyuuuuUmetekwa ila unatusumbua tu wenzio
Jiteke na wwNaona mmetekwa kama kawaida yenu
Shunie mimi nimebaki na je wajua yangu kama kawaida yangu
Kwa hyo tusizae tusubiri tuzeeke mweee