Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,621
Hope upo kabsa,pole na majukumu ya wiki nzima japo bado haijaisha wk yenyew
Hope upo kabsa,pole na majukumu ya wiki nzima japo bado haijaisha wk yenyew
Nko poa mno
Nko poa mno
nmechanganyikiwa na fursana ya binamu
Shikamoo my swi
Safi Sana km uko poa,Niko na mpz wangu Bia hapa tunapiga story
MTC | 101|
Sema kweli binamu...hizi fursana ni khatari sana, yaani hata ukiwa na madeni, ukinywa moja tu unapata nguvu ya kwenda kukopa tena
aiseenmechanganyikiwa na fursana ya binamu
Hahahah binamu bhana...hizi fursana ni khatari sana, yaani hata ukiwa na madeni, ukinywa moja tu unapata nguvu ya kwenda kukopa tena
Hahahah binamu bhana
Sema kweli binamu
Hamjambo huko duniani
Hahaha ni kweli kabsa binamu,,mimi mzima kabsa...kweli binamu, wakati pombe huleta ujasiri, fursana motto ni dawa ya deni kukopa.
Happy furahiday binamu. Mambo yanaenda lakini?
....nipo hapa mjini, nimemsindikiza abiria mmoja kaja kuosha nywele
Furahi day Njema wadau
binamu leo umepiga haya mapigo eeh