Makapuku Forum

...kweli binamu, wakati pombe huleta ujasiri, fursana motto ni dawa ya deni kukopa.
Happy furahiday binamu. Mambo yanaenda lakini?

....nipo hapa mjini, nimemsindikiza abiria mmoja kaja kuosha nywele
Hahaha ni kweli kabsa binamu,,mimi mzima kabsa
Happy furahiday na kwako pia binamu,,,et umemsindikiza kuja kuosha macho au ndio tyl umeshaanza mawindo jinsi ya kumpata sepenga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom