Makapuku Forum

Mechi 10 za Wapinzani wa JADI katika soka la Uingereza ( Football Derbies )

10. Aston Villa Vs Birmingham City ( Second city derby Au Birmingham Derby )

Mechi hii uhusisha timu za Mji wa Birmingham ( Mji wa pili kwa Ukubwa nchini Uingereza baada ya London ).
Timu hizi za Aston Villa na Birmingham city huwa zina upinzani wa hali ya juu.
Mechi ya kwanza ya Derby hii ilipigwa mwaka 1879.


 
Siku hizi wote wamejichokea
Labda wakapambane huko mchangani
Aston Villa anaonekana ndo kidume
......
 
9. Cardiff City Vs Swansea ( South Wales Derby )

Mechi hii huzikutanisha timu mbili ambazo ni mahasimu wakubwa katika soka la Wales hasa huko Kusini mwa Wales.
Kwa mara ya kwanza walikutana mwaka 1912. Japokuwa wanatoka Wales, lakini wanacheza katika soka la Uingereza, walikutana mwaka 2013 katika mechi ya kwanza kukutana kwenye EPL.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…