Makapuku Forum

1937 - Daraja la Golden Gate Bridge lafunguliwa huko California nchini Marekani.

Ni moja kati ya madaraja makubwa yanayopatikana nchini humo.

Pia daraja hilo hutumika kama nembo ya timu ya mpira wa kikapu ya Golden state Warriors

Mambo tunayoanza kuyafanya sasa wenzetu walishayafanya karibia miaka 100 iliyopita mfano kujenga Flyovers
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…