Makapuku Forum

Mkuu asante ...
 
Obe bhinamu yuko chakaliii

Mda mwingine roho mtakatifu alimuongoza vyema mama mchuchu ...eti mpaka now bhinamu yuko kwenye shughuli ...huyu binamu wangu wa dar shida tupu

Mjomba, za asubuhi, heshima yako nakupa.

Jana sikuwa chakali, leo si Ijumaa na tutakuwa wote twende pale contena pub tukapige vitu kwa bia ya jeshini. Then, tunapanga mikakati ya kukusaidia soo lako kwa aunt kuhusu atm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…