leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 3,548
- 17,806
AsanteKaribu kipenzi
AsanteKaribu kipenzi
🤣🤣🤣🤣Swahiba pole bhanahaya mafua yananitesa sana, mtu aje achukue hii pua, kwa leo siitaki
Mrembo!!!Marahabaaa! Hujambo?
🤣🤣🤣🤣 we mzee Tresor MandalaNimefika Auntie...
Habari za Weekend kwanza..
Huyo mwambie anywe konyagi mapua yazibuke🤣🤣🤣🤣🤣
We huko kwenu hakuna visungura?🤣🤣🤣haya mafua yananitesa sana, mtu aje achukue hii pua, kwa leo siitaki
hahahahaha,hata kama vipo, hiyo si dawa, halafu visungura sio, walau KvantWe huko kwenu hakuna visungura?🤣🤣🤣
Hiyo ndo dawa
mambo vipi shangazi🤣🤣🤣🤣 we mzee Tresor Mandala
hahahha,swahiba hata wewe ? ila hii uliyosema kama nimekuelewa hvNimefika Auntie...
Habari za Weekend kwanza..
Huyo mwambie anywe konyagi mapua yazibuke🤣🤣🤣🤣🤣
ahsante sana, Swahiba, pili nisamehe kwa yote,najua nilizingua juzi kati ila usiwaze,nakumbuka🤣🤣🤣🤣Swahiba pole bhana
hahahahaha,halafu ulivyomuita tu nimeanza kupata NAFUU, itakua ana dawa ya haya mafua ,hataki kunipaMakiwendo Auntie unaitwa huku
Yanazungumzika Swahiba..ahsante sana, Swahiba, pili nisamehe kwa yote,najua nilizingua juzi kati ila usiwaze,nakumbuka
Ndiyo Manake' Swahiba..hahahha,swahiba hata wewe ? ila hii uliyosema kama nimekuelewa hv
Ewaaa mulemule🤣hahahahaha,hata kama vipo, hiyo si dawa, halafu visungura sio, walau Kvant
🤣🤣🤣Ndiyo Manake' Swahiba..
Fanya hivyo🤣