Cheusii wewe si uliyakorogaa ...ntarudijeee alafu atm si cheupe kazifichaa eti nilimnyima ela ya saloon .ila atajulikana mme naniNilijua tu leo umepata mshahara ukapita kwa yule cheusi mangala muuza nguo
Hawa simbaaa wa mikumi au mtaa wa msimbazi[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Asante mkuu, usiku mwema.1/Hans Nilsen Langseth
Huyu mnorway ndo Mfalme wa madevu kuwahi kutokea duniani
Ndevu zake zilipimwa kabla ya mazishi yake mnamo mwaka 1927 na kukutwa na urefu wa futi 17 na inch 6 hadi leo ishapita miaka 90 lakini rekodi yake ipo palepale aliyejitahidi amefikisha futi 8 tu
.........
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho kwenye 10 kubwa ya kufungia wiki
Mwisho
.......
Ongeaa naee..afadhari tatizo langu la ualaza limepata tiba. Ninakuja chemba tuongee
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Lol! ha hahhaha, basi muongo hata mmoja (decade!!)
UmepatiaaMarejeo ni ngamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana sijaupaa, nina kaualaza kaumaskininautajiri kidogo. Ulishamwona bakhresa?
Nawewe piaWadau tukutane kesho
Chama zima la makapuku
Niwatakie Usiku mwema
.............
Makapuku mko fresh?. Napita tuu njia
KwemaMakapuku mko fresh?. Napita tuu njia
Mkuu ebu tia timu huku hiki kipengele kinatufaaaMbele yako nyuma ......
KaribuuuMakapuku mko fresh?. Napita tuu njia
kaka hivi pale ulikua serious auHata mi nimeona umejaza nafasi hewa
kuna vyeusi tenaNilijua tu leo umepata mshahara ukapita kwa yule cheusi mangala muuza nguo
[emoji2] [emoji2]Uji wamejifungua ???
Au ndo kujazwa??
[emoji2]