Salama hadithi bado kwaniNzur shem zakwako
Mambo shem
Hajastaafu kapewa barua ya kurud kazin alipumzika kwa ajili ya hanimuniAfandee msitaafu
vipi tena mbona unaguna
ni poa mke mwee ile story ya kisiwa cha madagascar imenishinda kumbe imefika mbali vileMic u too,mishe vp
Ebu tuwekee story humu jaman hamna haja ya kuedit wala nini si tupo wenyeweHahahaha ni megabytes sio megabaiti
Sio za kwako emmy za watu wote zimefungwa sema Lee ni mume zake zinafika tu
Ahaaa...... Kumbe za kwangu ndo zilishafungiwa kutofika kwako!!!!?????
AhahhTOP TEN
Siyo kila mwanaume huota ndevu japo pia wapo wanawake wanaoota ndrvu(nitawaongelea siku nyingine)
Sasa leo tuangalie wale waliopata umaarufu na pengine hata kuweka rekodi ya dunia kutokana na ukubwa/urefu wa ndevu wanazofuga
.
"Wenzio wanafuga vitoweo wewe unafuga ndevu...utalala njaa"
Karibuni
...........
Ni poa tusije tukauchuna mke wako akaja kama janaWakuu niaje
Duh10/Vivian Wheeler
Huyu ni demu aliyejaaliwa madevu pengine kuwazidi hata baadhi ya wanaume.
Anasgikilia rekodi ya dunia Guinness Book of World Records kama mwanamke mwenye madevu mrefu zaidi duniani
Ana ndevu zenye urefu wa inch 10
Shumie upo?
...........
mh babyHazifikiiii natumaa kibaoo
Hongera zake ameshindwa kwenda kulima karomijeHajastaafu kapewa barua ya kurud kazin alipumzika kwa ajili ya hanimuni
Aisee6/Nate JohnsonHuyu kwenye ulimwengu wa mabwana madevu anajulikana zaidi kama Chops Johnson
Siyo wa mchezo mchezo kwenye anga hizo kwani ana mataji kibao katika staili tofauti tofauti
......
usinichokoze bwanaKwelii kabisa
niliweka voucher nikajazwa yaan nilivyoona text ya jazwa ujazwe nilicheka sana nilikukumbukaAhaaaaaaahaaaaah
Akikujibu mke mwee niiteSalama hadithi bado kwani
Hajastaafu kapewa barua ya kurud kazin alipumzika kwa ajili ya hanimuni