Sasa ni kupaki basi tu
Kimsingi tunamaliza msimu vizuri hata km tumeshika # 6 kwenye ligi
*Tuna kombe la Ligi
*Kombe la Europa
*Tiketi UCL group stage
What a season......
Tujipange kusajili kufukia mapungufu yaliyojitokeza ili tusichemshe UCL na pia kukosa tena Top 4 au hata ubingwa
..........
Sasa ni kubaki basi tu