Bhinamuuu unanionea bure yote ilikuwa ni kutafuta njia mbadala japo siamini katika ule usemi wa wajinga ndio waliwao la mwajuma ....tulijitahid mambo ya kazi yakaka sawa na mtaalam alisema kwa mama blessed njia zake hazifui dafu tukapanga uanze kumeza mistari ya bibleMimi fala kweli badala ya kujitahidi kukariri mistari, naungana na mjombaangu lee empire kuongelea masuala ya waganga wapiga ramli. Ona sasa kilichonikuta
Afu namlaumu mjomba tu kwa kweli
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ucfwe mke mweeewananicheka kuwa umeniacha
hujui tu unavyonivuruga usinifanyie hivyo baby nitakufwa ujue
[emoji85] [emoji85] nifanyeje sasa shemela[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji2] [emoji2]Azam TV
Niko poaaaaNiambie mtoto wa Mao
Hata cio uongomke mwee naongea uongo
HaaaaahaaaaCc.binamu obe [emoji2] [emoji2] [emoji2] uje upewe flowers mukongo kalala
Obe atagonga like mpaka simu niliyomletea itaaharibika system chargerCc.binamu obe [emoji2] [emoji2] [emoji2] uje upewe flowers mukongo kalala
Asante, pia Asante kwa chakulaNko poa pole na mihangaiko
Utakufwajee wakati kivuruge chako nipoooowananicheka kuwa umeniacha
hujui tu unavyonivuruga usinifanyie hivyo baby nitakufwa ujue
Aisee mambo ya Obe hayoBhinamuuu unanionea bure yote ilikuwa ni kutafuta njia mbadala japo siamini katika ule usemi wa wajinga ndio waliwao la mwajuma ....tulijitahid mambo ya kazi yakaka sawa na mtaalam alisema kwa mama blessed njia zake hazifui dafu tukapanga uanze kumeza mistari ya bible
Yote kumi kum na moja na wewe ule wimbo wako uliokuwa umesave kama call tone kwenye kitekno chako ulikuponza ...nakumbuka ulikuwa unasema ""nimezunguka tanzania baraaa..unguja na pemba nimefika ..sijawaona warembo wenye sifa wenye kujipamba wakapambika ajhaa...kwa hiyo nyie kapuku wangu (uliedit) siangaiki na suraaa ...
Mh man u ikifungwa tu ndio nahamia chelseaUpdate ..pogba kashafunga ..naamini shunie uliiacha man u
Kama hujui shunie nimemwacha humu miezi 5 nikatokomea porini uliza shimba ..mchepuko wako shedede ...na wengine waliojaribu kumsumbua waliambulia nini ...Na wamesha do something we ulie tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Obe atagonga like mpaka simu niliyomletea itaaharibika system charger
Shunie sijui kama anaangalia live, itakuwa recordedUpdate ..pogba kashafunga ..naamini shunie uliiacha man u
bahati ndio hii mukongo akija flowers ataishia kuyaona kwa mukongo [emoji2]Haaaaahaaaa
Tupo ukapukuniNiko poaaaa
picha tafadhali [emoji121]Asante, pia Asante kwa chakula
[emoji120] [emoji120] assnte kushukuruAsante, pia Asante kwa chakula