Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Da afu ngoja nikacheki maana hata mi nafuatiliahahhaaha hivi ibra kapost leo
ndio nataka, nipe basiKwani na we unataka?
Unauliza majibu. Mimi, of course! Umetoka kuwa mlinzi wa Lee hata mwezi haujaisha unataka uwe bosi wangu. Are you serious?Kwaiyo mi nawewe nani atakuwa ndo boss sasa
kwahiyo mke mweeh unashindwa kununua soda mpk uka hug upate soda ya bure kwelii usitudhalilishe hivyo shemela wangu engeneer mkubwa
Cc.shululu
Basi we utakuwa unachepuka na shululu ndio maana unamuita tumosa Mke mwee
Link hiyo hapo Mrs. Shedede. With love, respect and appreciation!Kwani na we unataka?
Kwa sharti moja. Zikiwa pumba napiga chini na jina lako nalitoa kabisa. Huwa sina uvumilivu na mediocrity!
Baba hyoo!Husna muba mwambie akuombe radhi aisee
OoohTayari me mwenzio nshapita kule
ahhahah mmh nini tenaHaya mwambie aje link hii hapa. Shemeji mwenyewe mh!!!
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1108581/
kwahiyo na we unapitaga kimya kimyaNawaonaga mnavyohangaika kule kw a kina lege ibra n.k
msukuma ameshakuwekea link
Aiseee nitake radhi shululu ni shemeji yangu naheshimiana nae sana
Unauliza majibu. Mimi, of course! Umetoka kuwa mlinzi wa Lee hata mwezi haujaisha unataka uwe bosi wangu. Are you serious?
hapo sawamama mchuchu ndo mchokozi aliuza kuwa hapati pcha hzo mashine zkija tz so nlkuwa nachangia point cio lazima nikaihug mm ila yeyote me nmewakilisha tu,shemejio hawezi shndwa ninunulia soda
Kama mateja vile tuna tabu c kdgoNawaonaga mnavyohangaika kule kw a kina lege ibra n.k
Ni lee ndio aliniambia kuwa unamtaka etihata mm Lee namuheshimu sana but nashangaa umenambia namtaka mAra cjui namchumu