Hawa ni mapacha walioweka rekodi ya kuishi miaka mingi zaidi hapa duniani
Hawa ni raia wa Japan waliofariki mwaka 2000 mmoja akiwa na miaka 107 halafu mwingine akiwa katimiza miaka 108
Mwaka 1992 wakati wanaadhimisha miaka 100 walizindua album waliyoipa jina la Gin Chan and Kin Chan ambayo ilibamba vilivyo huko Japan
.......