Haaaaahaaaa umetisha sana ObeHa hahahhahaha!
BlessedHope nakutakia usiku mwema, msalimie sana mkongo alwatan werrason mutu ya watu
disclaimer: Nimemquote mdau hapo juu kwa nia njema kabisa, sio kipersonal kivile
all the best man uPamoja sana wadau
Tukutane kesho ambayo inaweza kuwa siku nzuri au mbaya kwa mashabiki na haters wa Man Utd kwenye fainali ya Europa League
..........
Ha hahahhahaha!
BlessedHope nakutakia usiku mwema, msalimie sana mkongo alwatan werrason mutu ya watu
disclaimer: Nimemquote mdau hapo juu kwa nia njema kabisa, sio kipersonal kivile
Binamuuuukwa kuwa washaoana tayari, hiyo kamati unayoandaa labda ya talaka
Binamuuuu
Haaaaahaaaa umetisha sana Obe
all the best man u
hahahahah ni cousin sema tunafupisha nae ni binamu yangu kama wwNaam aunt yangu.
Nasoma neno cuzoo, ndo nini, ni jina ua ni habari ambayo sijaisikia.
kama unavyonijua mimi nakuwaga wa mwisho kujua
hahahahah ni cousin sema tunafupisha nae ni binamu yangu kama ww
hhhhaaha binamu sitaki umeanza sisi sio futuhiKwani hii mechi haichezwi tena siku ya Alhamisi? Au UEFA nao wameamua kuiadhibu star TV kwa kumpa airtime DAB?
Tunaendelea vyema mamaSalama namshukuru Mungu ,wewe je na famlia
Mom nataka nikuletee mkwe
HakikaMke mweee afanye makarateee ukaribie chamani
Hili tukio halijatengenezewa filamu??4/The School Of Turin
Mwezi Februari huko School of Turin Leonardo Nortobatolo aliongoza genge lake la kihalifu kufanya tukio la kihistoria
Walifanikiwa kuingia kupitia dirishsni kisha kuwafubgulia na wenzske watatu na kuingia kwenye sehemu ya kutunzia vito na fedha Vault baada ya kufanikiwa kuvuka viunzi kibao na hivyo kufungu vibox 123 kati ya 150 na kutokomeazao
........
Mom nataka nikuletee mkwe
Kabisa mkuuElimu samtaimu hurahisisha mambo
......
FarasiUnatumia usafiri gani