Muache tuu sakayo alichofanya leo ..!ahahah mistari ya ulaya una maneno we na mkeo hivi uko wapi lakini
Amen mama..ZABURI 91
4.Kwa manyoya yake atakufunika Chini ya mbawa zake utapata kimbilio,Uaminifu wake ni ngao na kigao
5.Hutaogopa hofu ya usiku,Wala msha+/le urukao mchana.
TUOMBE
BABA hatutaacha kukushukuru kwa wema wako.
Tunaomba toba kwayote tuliyokosa kwa mawazo ,maneno na matendo kwa kuwa tumetenda dhambi uturehemu.
Usiku wa leo tunaenda kinyume na wanga,wachawi,walozi na nguvu zote za giza,mkono wako ukatukinge uwe ngao usiku wote na damu ya thamani ya Yesu itutakase.
waponye wagonjwa ,wafariji wajane,wafiwa waliokata tamaa wape tumaini jipya,tunaomba Amani ktk familia,mahusiano,wachumba,wanandoa wote.
Linda vijana,watoto na wote ambao wanahitaji ulinzi usiku waleo rusipungukiwe.
Tunaoma Baba katika jina la YESU AMEN
MLALESALAMA
Aminaa nimefurahi piaKaribu sana
Mi naitwa Jimena Jimenes ukipenda utaniita JJ, ama katibu wa weka picha
Salamu kwa wifi
Nimefurahi kufahamiana na wewe
ZABURI 91
4.Kwa manyoya yake atakufunika Chini ya mbawa zake utapata kimbilio,Uaminifu wake ni ngao na kigao
5.Hutaogopa hofu ya usiku,Wala msha+/le urukao mchana.
TUOMBE
BABA hatutaacha kukushukuru kwa wema wako.
Tunaomba toba kwayote tuliyokosa kwa mawazo ,maneno na matendo kwa kuwa tumetenda dhambi uturehemu.
Usiku wa leo tunaenda kinyume na wanga,wachawi,walozi na nguvu zote za giza,mkono wako ukatukinge uwe ngao usiku wote na damu ya thamani ya Yesu itutakase.
waponye wagonjwa ,wafariji wajane,wafiwa waliokata tamaa wape tumaini jipya,tunaomba Amani ktk familia,mahusiano,wachumba,wanandoa wote.
Linda vijana,watoto na wote ambao wanahitaji ulinzi usiku waleo rusipungukiwe.
Tunaoma Baba katika jina la YESU AMEN
MLALESALAMA
Wakuu habar za asubuhi
Mkuu obeHata tusio wakuu tumeitikia salam yako, habari yako Shede
Amina siku inakuwa njemaZABURI 91