mimi nilishamsamehe mda tu mana nilikuta anasema mm nimemwacha sijui na yeye ni mwanaume yaan hata sielewi sijui lini nimemuacha mara sijui nimetekwa na aliyenianzishia uzi
shemela kweli hapo naweza nikasema nilikosea lkn nimeanza kuumwa j3 mm sijaingia jf kabisa
sakayo mwenyewe kanipigia bada ya kuona hanipati ndio amekuta naumwa