Makapuku Forum

Ubarikiwe BlessedHope! Kwa kutupatia chakula cha roho. You're blessed.
 
ISAYA 59

1.Tazama, mkono wa BWANA haukupunguka hata usiweze kuokoa ,wala sikio lake si zito lisiweze kusikia.

TUOMBE

Tunakushukuru BABA MUNGU kwa ulinzi wako umetuamsha salama.
Tunaomba toba kwa makosa yetu yote.
Asante kwa ulinzi wako usiku kucha.
Tunajikabidhi mikononi mwako mchana wa leo.
Ponya wagonjwa,fariji wafiwa ,wajane yatima na wahitaji.
Bariki kazi za mikono yetu
Bariki wasafiri angani nchi kavu na majini wafike salama
Bariki wamama wajawazito wapate kujifungua salama maana huo ni mpango wako kwetu sisi wanadamu
Wasaidie suluhisho sahihi wale wote wenye kupitia changamoto mbalimbali.
Asnte Baba mapenzi yako yatimizwe maana mkono wako haupungui kwetu,sikio lako linasikia kuomba kwetu.

Katika jina la Yesu,Amen


SIKU NJEMA MBARIKIWE
 
Amen mama mchungaji
Kazi yako ni njema
Ubarikiwe

All the time God is good
 
Amen!
 
Amen mama mchungaji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…