Makapuku Forum

9/Hispania
Hawa akina Ander Herrera huko ni ruksa kulima bangi pia unaruhusiwa kuvuta bangi ukiwa nyumbani kwako,club maalumu na sehemu zingine
25% ya Wahispaniola wanavuta sigara kubwa
Yaani watu Milioni 4.8 ni wavuta/watumia bangi
.....
 
Ubarikiwe [emoji120] kwa ujumbe mzuri...!!
 
Nipo tayari mkuu
 
8/Misri
Kweli bangi haina mwenyewe yaani hawa watu wa swala 5 nao wamo!!!
Wamisri wa kale waliitumia zaidi kwa ajili ya matibabu na kujiburudisha
Sasa hivi kizazi chao kinapuliza bangi hatari
6.2% ya Wamisri wanapuliza na kutumia sigara kubwa
Yaani watu 5.4 miliomi
......
 
10/Canada/b]
Kwenye baadhi ya majimbo kuvuta bangi ni ruksa unavuta unavyojisokia hadi upagawe mfano jimbo la British Columbia inatumika kwa ajili ya matibabu na viwanda
12% ya Wacanada ni wavuta bangi
Yaani watu milioni 4.5
.......
Bender yao tu ina alama ya bangi nafikiri mama rais wao mvuta bangi[emoji20]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…