BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Hakika tunapaswa kuchukua hatua za makusudi kutunza mazingira,yatutunze.NUKUU YA LEO
"Climate change is happening, humans are causing it, and i think this is perhaps the most serious environmental issue facing us ''
''Mabadiliko ya hali ya hewa yanatokea, binadamu ndiye anayeyasababisha na nina fikiri kuwa linaweza kuwa jambo zito la kimazingira linalotukabili''.
Haya maneno yalitamkwa Novermber 26 2016, na Mtangazaji na mwandisi wa masuala ya mitambo Bw. William Sanford Nye, alimaarufu kama bill nye the science guy.
Bill nyee alizaliwa November 27 1955 huko washington D.C nchini marekani.Billy nyee alikuwa ni mwandisi mitambo (mechanical Engineer) wa ndege za boeng kabla ya kuacha kazi hiyo na kuanza kurusha vipindi vya kuchekesha na sayansi wa watoto.
Bill nye ameandika vitabu vingi kama The big bag Theory, Dancing with stars n.k, jamii ya wamarekani inatambua sana mchango wako hasa kwa vipindi vya sayansi kwa watoto wadogo, hivyo alishapata tuzo kadhaa.
wakuu Tunzeni mazingira! mazingira yatawatunza.
Morning ChaplinMorning to you too
Morning how are u God Bless you[emoji120]Morning wakuu...
Alipiga sana na sasa anapigika sanaMhasibu alikuwa anafanya yake kimya kimya
Nawe pia ChaplinAmen shululu
Ubarikiwe siku yako iwe njema
Morning T wa sakayoMorning wakuu...
Za uzima nzuri, familia haijambo hapo nyumbaniMornng mkuu Shululu za uzima?ubarikiwe[emoji120]
Pamoja sana ipogoloAsante.
Nimefurahi kusikia umerudi,umoja ni nguvu hatupaswi kurudi nyumaHope mko pouwa wotee humu..
Mnisalimie Kipenzi changu Sakayo...nimerudi sasa..
cc: nyagei
Asante mama mchungaji wangu..Nimefurahi kusikia umerudi,umoja ni nguvu hatupaswi kurudi nyuma
[emoji524] ZABURI 133
1.Tazama ,jinsi ilivyo vema na kupendeza,Ndugu wakae kwa pamoja kwa umoja.
TUDUMISHE UMOJA WETU
Morning Shululu wa TMorning T wa sakayo
Amina mkuu..Hakika tunapaswa kuchukua hatua za makusudi kutunza mazingira,yatutunze.
Asante sana T wa Sakayo kwa Nukuu elimishi,kazi yako ni njema ubarikiwe,uwe na siku njema sana[emoji120]
Amen,thank you[emoji120]habar za asubuh..!!View attachment 510448
Shukrani kwa magazeti chief.Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono dikteta Mussolin5
Tuwe na jumatano njema yenye heri na baraka katika kazi za mikono yetu
Shukrani boss kwa nukuu ya leoNUKUU YA LEO
"Climate change is happening, humans are causing it, and i think this is perhaps the most serious environmental issue facing us ''
''Mabadiliko ya hali ya hewa yanatokea, binadamu ndiye anayeyasababisha na nina fikiri kuwa linaweza kuwa jambo zito la kimazingira linalotukabili''.
Haya maneno yalitamkwa Novermber 26 2016, na Mtangazaji na mwandisi wa masuala ya mitambo Bw. William Sanford Nye, alimaarufu kama bill nye the science guy.
Bill nyee alizaliwa November 27 1955 huko washington D.C nchini marekani.Billy nyee alikuwa ni mwandisi mitambo (mechanical Engineer) wa ndege za boeng kabla ya kuacha kazi hiyo na kuanza kurusha vipindi vya kuchekesha na sayansi wa watoto.
Bill nye ameandika vitabu vingi kama The big bag Theory, Dancing with stars n.k, jamii ya wamarekani inatambua sana mchango wako hasa kwa vipindi vya sayansi kwa watoto wadogo, hivyo alishapata tuzo kadhaa.
wakuu Tunzeni mazingira! mazingira yatawatunza.
Morning mkuuMorning wakuu...
Nakupata mujarabu kabisa bossHope mko pouwa wotee humu..
Mnisalimie Kipenzi changu Sakayo...nimerudi sasa..
cc: nyagei
Mkuu Hivi hayo majengo ni ya wapi?Morning Chaplin