Makapuku Forum

 
3 Yohana 1

2.Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yako yote na kuwa na afya yako ,kama vile roho yako ifanikiwavyo.

TUOMBE

Asante Baba kutufikisha umbali huu.
Tunaomba toba kwa yote tunayokosea.
Bariki kazi za mikono yetu
Ponya wagonjwa ,watie nguvu wafiwa,wajane na yatima
Ponya familia na uzifanikishe katika afya,mwili na roho.
Tembea nasi siku ya leo
Roho Mtakatifu tuongoze tupe hekima katika kila jambo
Asante Baba kwa kuwa unatupenda na unatufanikisha
Najua utafanya sawasawa na mapenzi yako.
Katika jina la Yesu naomba na kushukuru.
Amen

Siku njema wapendwa Mfanikiwe kama neno lisemavyo,hiyo ni ahadi ya Mungu kwetu.Hivyo ni haki yetu tukiri mafanikio Amen
 
amen
 
Amen mamii
 
Amen, Asante kwa neno mama mtumishi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…