Mkuu
Horseshoe Arch, mawazo yako ni mazuri sana nimeyapenda. Na ni siku kadhaa zilizopita nilikuwa nahitaji ramani ya nyumba atleast yenye vyumba viwili(ikiwemo master room), sebule na kitchen, ikiwa na mjumuiko wa gharama nzima ya nyumba yote.
Nahitaji sana msaada wako braza.