Makapuku Forum

Asante kwa nukuu maridhawa kutoka kwa baba wa taifa.
 
Kambarage alikuwa na mapungufu yake mengi tu ikiwemo kumchukia Oscar Kambona baada ya kugundua ni msomi na mtu smart
Pia ujanani alikuwa anapuliza mafegi
Shukrani kwa nukuu murua
.
.
.
.
Pole pia kuhusu kuondokewa na mama mapema mimi niliugindua umuhimu zaidi wa mama baada ya kufika na baba

.........
 
Acha tu Bitoz hakuna kama mama yaan mm nikiwa na matatizo ndio unapozidi kuchanganyikiwa hivi mama angekuepo kila kitu si kingeenda sawa
 
1984 - Mark Zuckberg anazaliwa.

Ni mfanyabiashara wa Kimarekani na mwanzilishi wa mtandao wa Facebook.
Japo ni bilionea na mmiliki wa FB lakini ni mtu asiyekuwa na mbwembwe yaani km Maxence Melo vile
Hebu fikiria mwanzilishi wa JF angekuwa ni Ngedere Ungabu
Angekuwa anasumbua balaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…