BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Ubarikiwe sana Shululu kwa magazeti ,Asante Obe ubarikiwe kwa udhamini Kazi yenu ni njema sanaMpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu
Kwa udhamini mnono wa binamu Obe, nawatakieni jumapili njema
Amen Obe siku njema ,jumapili njema tukisherehekea siku yetu najivunia kuwa mama kwakweli ni fahari,asante unatujali ubarikiwe sanaAsante sana shululu kwa magazeti na kunirusha leo kama mdhamini. Ila huwa napenda kweli kudhamini magazeti na BlessedHope
Jumapili njema makapuku, na Tufurahia Siku ya Mama Kimataifa
ndiwoo....kwa hiyo mmeloviana!? Safi sana
mkuu asante kwa magazetiMpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu
Kwa udhamini mnono wa binamu Obe, nawatakieni jumapili njema
Hili la vyeti likiingia polisi sijui itakuaje
asante mkuu kwa udhamini mkubwa wa magazeti once treat well how mama mchungajiAsante sana shululu kwa magazeti na kunirusha leo kama mdhamini. Ila huwa napenda kweli kudhamini magazeti na BlessedHope
Jumapili njema makapuku, na Tufurahia Siku ya Mama Kimataifa
Chips ni mtihani,tukizitamani basi tupike nyumbani jamani mimi naogopaaa
Wapumzike kwa amani marehemu hawa wa familia moja,ni simanzi
bwana yesu asifiwe??Chips ni mtihani,tukizitamani basi tupike nyumbani jamani mimi naogopaaa
Elfu kumi,mmmh wakati mngine unahisi umeibiwa unaanza kuitafuta dukani
Asante mkuu Shululu ,asante kwa muda wako ubarikiweMAGAZETI YA LEO YATAWAIJIA HIVI PUNDE
Chips ni mtihani,tukizitamani basi tupike nyumbani jamani mimi naogopaaa
asante mkuu kwa udhamini mkubwa wa magazeti once treat well how mama mchungaji
asante mkuu kwa udhamini mkubwa wa magazeti once treat well our mama mchungaji
...hebu naomba link ya hichi kilugha
Afu msimfuateuate sana mama mchungaji, nitawaroga
Hahaha nakumbuka kijijini,mkulima anaenda anauza debe la viazi 1000/elfu moja (enzi hizo)akiwa anarejea nyumbani baada ya kununua mahitaji yote,maana ni milimani kabla hajapanda nyumbani yupo mjasiriamali wakulima wengi wamemuuzia viazi,wote wamepanga foleni wanasubiri chips,sahani oja shilingi elfu moja huyu mkulima ananunua yake,za watoto watatu,mkewe imagine kisa kusubirishwa...ha hahha, tupike nyumbani tena, za nyumbani utasubirishwa? Raha ya chipsi kusubirishwa
AminMungu akuponye SHIMBA YA BUYENZE TUNAKUOMBEA NDUGU YETU,DAMU YA YESU INENE MEMA
Huyu anataka kumbemenda tu mama mchuchu wenu, atamkondesha bure nishaona mimi.
Lakini naye BH ndo kazimika kishenzi hadi maua, yaani maua jamani
ni baby wake binamushedede mbona nakuona unazidisha uchangamfu humu kwa husna muba