Makapuku Forum

khee nawewe unajiliza nini mwenzio ndo nishakwea hivyo ww miaka yote hupo humu ........pole sana mtani
Kukwea kwa kusaidiwa? Mpaka kujishusha hadhi na utu wako namna hiyo? Ningekuwa wewe wala nisingejishaua bali ningeuchuna tu. Umeomba kazi ya ulinzi umetafunwa na mbu maporini huko mara unafukuzwa kama mbwa na mzigo wako wa sime na marungu bado una audacity ya kujigamba? Madomozege bwana!

Simba mwenda pole huwa hana wasiwasi. Na anaweza akaghairi kunyatia windo anytime akiamua. You wait and see!
 
Khaaaa msukuma
 
hahahaha ...h hii ni gift nimepewa ningeweza mwenyewe aisee
once ....:bahati ya mwenzio usilalie mlango wazii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…