Habari zenu ndugu zangu...
Naomba muusikie wimbo wangu huu nilio imba mwenyewe..
nimesha rikodi nyimbo 2 zakwangu ila hazijawahi kulizwa popote labda kwa marafiki zangu wa nyumbani.
wimbo huu nimeurikodi December 2016
natumia jina la dah pressure mungu akipenda nitabadiri liwe Mondray
nikosoeni please..
hunishindi mm mama mchuchu juzi nilikukumbuka yale maneno yako bora lee arudi anakuweza
alirudi bana mama mchuchu akakuta kuna thread nimeipost mmu ya wanawake vibonge aliongea yule baba