Jamii forum watu sio wajinga wajinga
Kuandika kitu kwa dhumuni maalum....ndio maana kuna waanzisha thread kuhusu dawa za asili ili tu wapate wateja tena utasikia hakuna ambaye hakupona baada ya kutumia dawa...mara natibu hadi Ukimwi
Ukiingia kichwa kichwa na kuamini kila kitu utaliwa
Mfano
Hili jiwe ni madini gani?
...........