shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Hakika umenenana mm nakiona lkn watashindanaaa lkn hawatashindaaa
Hakika umenenana mm nakiona lkn watashindanaaa lkn hawatashindaaa
Kwan ww ni mfupiUnatafuta ugomvi na mtu humu![]()
![]()
![]()
![]()
Mzee wa chura ulitekwa nini?salama waungwana?
naona umemkalia kooni mondrayhahahh ndio kama ya mondray alivyopeleka harakati kwa mama mchuchu nafsi inamsuta kukuta mama mchuchu ni zaidi ya mama ake
Nitafurahi sana shem wange nakutegemeaAkiwa mbogo nitamtuliza
All the time God is good
Uchawi gan dada mi nasema niniacho kionaMchawi nae mtu ujue
shunii nimekufanya nini meme?ww tena ndio sehem yako hiyo ya fitina
Mbape kamsalimia Buffon wakati Messi alishindwa![]()
Dk za majeruhi
.
.
.tukutane kesho
Usiku mwema
.............
Ni kweliiii wala si uongoHapo mmepata wasiwasi kuwa jimbo linaweza kuondoka
Nan kakwambia hayo yalikuwa maneno tu ukweli ni kuwa mapenzi hayapewi dhamanatrue love never die
hahahhaahNgoja nione atajibu nini
Usigune hayo ndo maamzi magumuMmmmh
Mkuu huku nlipo sihitaji msaada acha niendelee kua matekaMzee wa chura ulitekwa nini?
All the time God is good

hahahh ndio kama ya mondray alivyopeleka harakati kwa mama mchuchu nafsi inamsuta kukuta mama mchuchu ni zaidi ya mama ake
Hapana mi sio mgombea hili jimbo shunie kamgawia shululu mi napiga story za kinyumbani zaidimkolomije naona unatumia advantage ya nyumbani sio
hahahhah nilicheka leo ikabidi aanze kuomba msamaha ila nafsi inamsuta mpk sasa ananiambia nilikua namtania tu kama ninavyotania nikajua ni kijana kama nyie nikamjibu mm mwenyewe kibibi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
sasa ikawaje