Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
hahahhah nakweliHayo majaribiao anaweza akawa anafanyia kwenye godoro. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
hahahhah nakweliHayo majaribiao anaweza akawa anafanyia kwenye godoro. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Duh hawa jamaa wanataka wawapige nne wenzao nini
[emoji134] [emoji134]daaaah huruma, masikini we mtoto wa watu
hahaha anajificha wapiAf wewe!!! nimepata CV yako chocho zote za JF umeshaingia.....now unajificha kuleeeee
Nyie wakongo ndio mnaongoza kwa umbilikimowatu wafupi na hizi mvua wakijifunika mwamvuli unaweza kudhani uyoga unatembea [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
ananionea huruma shemelaMtoto wa watu, nimecheka sana aisee
hahahahaNimeishajibiwa
Asante mi nawakilisha kabila languNmemtambua kupitia jna lake
kampeni zimeshaishaAkiweza kumudu kupiga kampeni za uhakika kama akilegea kuna vijana wana mistari mikali mapaka wanamwamishia kwao
Karibu sana mkuuTutakutembelea siku moja
hajanikimbiza shemelaHarafu umemkimbiza shemela wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Papa hili swali lako ni tata kidogo mbona mmemsakama na maswali
Mchawi nae mtu ujueNaona mnaleta za kuleta au nimwambie agome kuja kwenye jimbo lako
true love never dieNataka nianzishe kampen ya kuhakikisha haingii kwenye jimbo la shululu
MmmmhHata mkiandamana tutatumia lugha ya kwetu na nitamwalika na mama mchungaji ili tushinde
Ena ubhaponyange pakajaNdagha gwa bhomba sebho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu wafupi na hizi mvua wakijifunika mwamvuli unaweza kudhani uyoga unatembea [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
mkolomije naona unatumia advantage ya nyumbani sioNaona mnaleta za kuleta au nimwambie agome kuja kwenye jimbo lako
Nimeona imebidi nicheke tuananionea huruma shemela
Mi sio mkalimaniKwanza akufafanulie