TOP TEN
Leo tuangalie vita kumi zilizodumu kwa muda mfupi kuwahi kutokea duniani
Nitajilita zaidi kuelezea muda na sio vita kinagaubanga yaani vita nitazielezea kwa ufupi tu
Karibuni
......

10/Georgian--Armenian War 1918
Hii vita ilipiganwa mwaka 1918 ikihusisha kugombea mpaka baina ya nchi za Georgia na Armenia
Ilichukua muda wa siku 24 kisha
Iliisha baada ya kuamua kuyamaliza kwa njia za amani hivyo kuingia makubaliano maalumu
...........
Kwanini isiwezekane
Wakati nyie rambirambi ya Mafisango mmekula
.
.
Hata tukichanga sh miamia nchi nzima inatosha na chenji inabaki
Umoja ni nguvu
.........