kihayaKilugha gani hicho?
Nawe piaMakapuku. Kumekucha wapendwa. Tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama. Nawaombea siku njema na yenye mibaraka tele; pamoja na ulinzi mzito wa mwenyezi Mungu. Twendeni tukapambane, na kama kawaida yetu makapuku: HAKUNA KUKATA TAMAA !!!