Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
nazani umetumia trick zote hii ndo ya mwisho afu umefeli lol..[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nipo mama. Nahangaika na kilimo cha umwagiliaji hapa Koromije. Kumbuka nilishawapa ofa ya kuwachinjia ndama mnono au ligulyati (dume) la mbuzi siku mtakapokuja kutalii huku. Ofa yangu bado iko pale pale. Na itafurahisha zaidi mkija bila mlinzi!
Ahsante.Karibu kapuku mgeni
Mwifwa bila shaka ni mwenyeji wa Mbeya!
Ahsante MkuuKaribu mkuu
mkuu mambo vip za mihangaiko pole na majukumu kazi uliyonipa inaendelea vzr sanashunie kashawaharibuu akiliiii ...mnataka mabongee siku hizi
Unataka ukaokoke?Kanisa lao linaitwaje?!
Punguza ukali wa manenoKumbe shunie ni kuwadi
umemaanisha nnNigie no mpya ya shunie mkuu
Afandeeenazani umetumia trick zote hii ndo ya mwisho afu umefeli lol..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Njema afandee za hukowakuu habar za saiv
Kapuku living church of GodKanisa lao linaitwaje?!
sio kuwadi ila nilitaka nikuweke sehem salama ambayo hakuna makelele kama kwingine unapoingia unakutana na misululuKumbe shunie ni kuwadi
ukuyeeee[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100]
ukuyeeee[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100]
Jina la kanisa nimelipendaKapuku living church of God
MhhhhhhmhhhhhKumbe shunie ni kuwadi
Nzuri mkuu, za jioniwakuu habar za saiv