Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 May 7, 2017 #181,181 Nyagei said: Matokeo ya mechi zilizochezwa tarehe 6 yanaletwa kwa udhamini wa Obe (Jorowe) na shululu Click to expand... hiyo jorowe ina maana gani
Nyagei said: Matokeo ya mechi zilizochezwa tarehe 6 yanaletwa kwa udhamini wa Obe (Jorowe) na shululu Click to expand... hiyo jorowe ina maana gani
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 7, 2017 #181,182 Shunie said: Yaan leo naona dalili za kukesha Click to expand... Hata mimi naona
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,560 May 7, 2017 #181,183 Shunie said: Nimewapenda safi sana Click to expand... Ovyo sana hao watu..
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 7, 2017 #181,184 Transcend said: Hahahahaaaa! Nimecheka hadi watu wamenishangaa... Wewe unasema Nyagei yuko kwenye maombi eti ameokoka... Wakati nimemkuta kwnye uzi wako huo wa le wanenezi Click to expand... Umeuona eheeeeeeeee
Transcend said: Hahahahaaaa! Nimecheka hadi watu wamenishangaa... Wewe unasema Nyagei yuko kwenye maombi eti ameokoka... Wakati nimemkuta kwnye uzi wako huo wa le wanenezi Click to expand... Umeuona eheeeeeeeee
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 May 7, 2017 #181,185 Shunie said: Nipo kitandani sioni dalili za usingizi Click to expand... polee!!
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 May 7, 2017 #181,186 Transcend said: Hakuna cha maombi wala nini Click to expand... hahahhah
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 7, 2017 #181,187 Nyagei said: Huna usingizi Click to expand... Anao ila amemmiss mchungaji
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,560 May 7, 2017 #181,188 Shunie said: hiyo jorowe ina maana gani Click to expand... Ni lindege furani hivi linapenda kujenga viotaa kwenye Kona au kenchi za nyumba.. Lioga balaaa likiona panzi linakimbia..
Shunie said: hiyo jorowe ina maana gani Click to expand... Ni lindege furani hivi linapenda kujenga viotaa kwenye Kona au kenchi za nyumba.. Lioga balaaa likiona panzi linakimbia..
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 May 7, 2017 #181,189 dingimtoto said: chief "me"dingi tena anakuaje "ke" Click to expand...
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 7, 2017 #181,190 Shunie said: Basi nikajua upo kwenye maombi Click to expand... Ndio kutingwa huko
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 May 7, 2017 #181,191 Transcend said: Let me call.. Click to expand... ili iweje sipokei simu
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 7, 2017 #181,192 Transcend said: Ila shunie ule uzi umenikumbusha mbali sana... Basi tuu...maisha yako dynamic Click to expand... Funguka tu
Transcend said: Ila shunie ule uzi umenikumbusha mbali sana... Basi tuu...maisha yako dynamic Click to expand... Funguka tu
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 May 7, 2017 #181,193 shululu said: Hata mimi naona Click to expand... Yaan hata sielewi shemela bora ningejinywea heinken zangu nilale na maduka yashafungwa
shululu said: Hata mimi naona Click to expand... Yaan hata sielewi shemela bora ningejinywea heinken zangu nilale na maduka yashafungwa
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 May 7, 2017 #181,194 Mondray said: Ovyo sana hao watu.. Click to expand... Ndio vizuri
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,560 May 7, 2017 #181,195 Transcend said: GOOD.. LEo bia wapi? Click to expand... Mhuu.. Mm na bia tena noo Niulize V, P, U, F, N wapo wapi.
Transcend said: GOOD.. LEo bia wapi? Click to expand... Mhuu.. Mm na bia tena noo Niulize V, P, U, F, N wapo wapi.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 May 7, 2017 #181,196 dingimtoto said: polee!! Click to expand... Santee
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 7, 2017 #181,197 Nyagei said: Matokeo ya mechi zilizochezwa tarehe 6 yanaletwa kwa udhamini wa Obe (Jorowe) na shululu Click to expand... Asante, ila la Liga ngoma bado mbichi
Nyagei said: Matokeo ya mechi zilizochezwa tarehe 6 yanaletwa kwa udhamini wa Obe (Jorowe) na shululu Click to expand... Asante, ila la Liga ngoma bado mbichi
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 May 7, 2017 #181,198 shululu said: Anao ila amemmiss mchungaji Click to expand... Hahahhh jamaan sitaki
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 May 7, 2017 #181,199 Mondray said: Ni lindege furani hivi linapenda kujenga viotaa kwenye Kona au kenchi za nyumba.. Lioga balaaa likiona panzi linakimbia.. Click to expand... Sasa lina maana gani nyagei anavyomwita binamu obe hivyo
Mondray said: Ni lindege furani hivi linapenda kujenga viotaa kwenye Kona au kenchi za nyumba.. Lioga balaaa likiona panzi linakimbia.. Click to expand... Sasa lina maana gani nyagei anavyomwita binamu obe hivyo
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 7, 2017 #181,200 dingimtoto said: chief "me"dingi tena anakuaje "ke" Click to expand... Mhhhhhhmhhhhh