2/
The Black Plague
Huu ugonjwa wa tauni uliweka rekodi kwa kuua watu wengi kuliko magonjwa yote ya tauni kuwahi kutokea.
Ulitokea mwaka 1347 hadi 1350
Uliua 33% ya watu wote barani Ulaya
Pia ulipifa hodi Asia na Afrika Kaskazini na kuua idadi kubwa ya watu
.....