Saiv anagonga ngapi?Ardi Rizal
Kijana aliyeushtua ulimwengu kwa kuvuta sigara 40 kwa siku sasa ana miaka 9
Hapa akiwa na miaka miwili
Hapa akituonesha picha yake ya utotoni akiwa na miaka miwili
Jinsi alivyo sasa
Werason wivu unamsumbuaHahahhah una utani na shemela wangu shululu
Nakuona Mzeiya!!!
Hawezi kujibu, subbiri mpira uishe utamuonaUko upande gani?[emoji387] [emoji386] [emoji387] [emoji386]
Unaoa???[emoji4]Ni mwendo wa maji tu
hahahhah wivu sio wa tanzania hiiWerason wivu unamsumbua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaoa???[emoji4]
Hujui historia ya mwanao?Saiv anagonga ngapi?
Anakaribia kuoaUnaoa???[emoji4]
Ndio ukweli huo shemela wanguhahahaha
Acha ibomoke itajengeka mbele ya safariNakumbuka kuna kifungu kwenye biblia kinasema mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake ogopa huu mstari usikuhusu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vale ni mwehu mfyuuuAcha ibomoke itajengeka mbele ya safari
mbona hatuambiiii twende kwenye vikaoAnakaribia kuoa
Af wewe!!![emoji124] [emoji124][emoji23][emoji23][emoji23] una utani na mukongo
Af wewe!!![emoji124] [emoji124][emoji23][emoji23][emoji23] una utani na mukongo
si kweli mushenga [emoji23]Af wewe!!![emoji124] [emoji124]
Karibu le MadameAsante
Tanga kunaniSalama mkuu, nilipotea kidogo baada ya kutekwa na mamazi wa Tanga
Mbona wana roho nzuri sana mkuuSifahamu aisee, wanyiha niliwaogopa sana