Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,232
- 68,262
Ndicho nachosubiri pia ,,,,nikikuta jina nachoma vyeti naenda kugombea ubunge niwe wazirihuku salama sana
tunatafuta magazeti tusome majina ya vyeti feki, mkuu maguu kasema atawaanika kwenye magazeti!!!
Adolf Hitler alivyo kuwa mdogo alikuwa na ambition ya kuwa padri (baba paroko)Leo Katika Historia:
1945 - Adolf Hitler anamuoa mchumba wake wa siku nyingi Eva Braun huko Berlin.
Kwani ameshayatoa kwa mediahuku salama sana
tunatafuta magazeti tusome majina ya vyeti feki, mkuu maguu kasema atawaanika kwenye magazeti!!!
Walifanikiwa sababu alikuwa yupo kwenye pilika za ndoa yake1945 - Gereza la Mateso la Dachau lililokuwa chini ya NAZI lakombolewa na Marekani katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia.
Lilikuwa ni moja katinya magereza yenye mateso na mauaji makubwa chininya Adolf Hitler.
bora utafute cheo kama cha bashite, hawata kugusa na mambo yao ya vyetiNdicho nachosubiri pia ,,,,nikikuta jina nachoma vyeti naenda kugombea ubunge niwe waziri
Pamoja sana mkuu musollinAsante kwa magazeti Mkuu
Chaplin vipSalama tu mkuu Habari ya huko
Ahsante sana dictator Mussolin5 kwa historiaLeo Katika Historia:
Sina la ziada, weekend njema.
bado akijaekeweka ndio tunafanya kupekua kila sehemuKwani ameshayatoa kwa media
Mchumba kazi alikuwa nayoLeo Katika Historia:
1945 - Adolf Hitler anamuoa mchumba wake wa siku nyingi Eva Braun huko Berlin.