Makapuku Forum

Tongotongo ls Asubuhi
Umewahi kutumia BIC?
Sasa basi ujue vile vitundu viwili havikuwekwa kwa bahari mbaya au urembo
Watengenezaji waliamini vitasaidia kucontrol balance ya presha ya nje na ndani ili kulifanya bomba la wino liwe linafanya kazi kwa ubora na kutiririsha wino inavyostahili
........
 
Yeah, yaani jamaa kafa unexpectedly kabisa bado akiwa kijana tena mtu wa mazoezi gym humkosi. Sasa sijui ni Malaria ameichezea. So sad!

Root canal mateso tu. Nadhani nitaling'oa tu halafu nitaangalia utaratibu wa kuweka jingine. Nikimeza dawa za maumivu mpaka nasahau lakini after 6 hrs naanza tena kusikia mpwito mpwito.
 
We are all equal but sameless
Wanasiasa nchi hii ni binadamu first class hata kesi zao za Mauaji huitwa ni za kuua bila kukusudia hata km evidence zinaonyesha there was a motive to kill

Usawa upo labda kaburini tu
..........
 
Shimba, hapa ndo ninapogeuza shingo kulia kwenda kushoto. Haiwezekani kuwe na watu na viatu katika ishu kama hizi, tuna mfumo mbaya sana wa kutatua au kuelezea kero. Hatuzijadili na bado tupo kwenye dhama za kuamini mtangazaji wa radio akisema sasa ni saa saba basi hatuhitaji kuangalia saa zetu.

Mambo ya 'the animal farm' haya, kwamba kuna watanzania wengine ni bora zaidi ya wengine? Kihiyo wa Temeke alivuliwa ubunge kwa kudanganya kuhusu kumaliza UD enzi hizo.
Waziri asitake kutuaminisha kuwa cabinet na mwenyekiti wa kabineti ni watu wenye elimu za mashaka na ndiyo maana wanajitahidi kujenga uzio ili wananchi/watumishi wasiwasogelee.

Kwa ripoti aliyokabithiwa rais huku ikiwa na huyu ni mtu na huyu kiatu basi itoshe tu kujiaminisha kuwa aliyeandaa ripoti ya vyeti feki na aliyekakabidhiwa si tu kwamba hawana vyeti bali hata vyeti feki pia hawana.
 
Wanasayansi bwana!

Mchapo. Jamaa wa NASA walienda na BIC mwezini zikagoma kuandika kwa sababu sijui hakuna gravity na presha ni kidogo. Waliporudi wakafanya utafiti mpaka wakaweza kutengeneza kalamu zenye wino maalum usioathiriwa na gravity wala presha kwa kutumia zaidi ya dola milioni 30. Warusi wao wakaenda anga za juu na penseli tu na hawakuwa na tatizo lo lote!
 
Pole sana SHIMBA
Ndio tijue thamani ya maisha
Tuutumie muda wetu tunaokutana hapa vizuri maana hakuna mwenye uhakika na kesho
Tupandikize mbegu za upendo miongoni mwetu
.........
 
Wenzetu kila changamoto wanaifanyia kazi
Hiyo ya NASA inachekesha
..........
 
Amen

Ahsante mama mchungaji Ubarikiwe
 
Get well soon SHIMBA YA BUYENZE
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…