[emoji4] [emoji109]TOP TEN
Km mnavyojua week end huanza Ijumaa basi ndio hivyo tunaenda kiburudani zaidi...full mujiachia
Basi leo tuone harusi maarufu zilizotikisa mwa kutumia pesa nyingi
Maskini hujifariji kwamba harusi ni harusi tu ....utamu ni uleule
Karibuni
.........
Uchoyo tu!!!10/Wayne Rooney & Coleen McLaughlin
Ilifungwa huko Portofine Italy 2008
Ikimuhusisha staa wa soka na mwongozaji wa vipindi vya TV
Ilihudhuriwa na wageni 64 tu na kugharimu takribani USD 15 Milioni
........
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Jibu la mukongo je
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Rudi
Khaaaa shemela jaman ujue hii jfTupia picha shemela
we una hamu na nn mukongoSijui, nimepoteza hamu na movie kabisa
Asee asee mbona Me ni Clean manLabda anachukulia mazoezi kwako
[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]Sasa amekuelewa
Powaaakwema humu ndani wadau?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mukongo badala ya kujibu kaniuliza
Werasson alimsahauUchoyo tu!!!
NajuaKhaaaa shemela jaman ujue hii jf
Uliza bei!!!Bibi harusi kavaa simple
Haina shida mkuu ndio maana natumia my real name na pia nimetumia picha yangu halisi.karibu sana mkuu kwa niaba ya wakongwe maana mwenyewe bado nina kamba mguuni,
kikubwa ni kuheshimiana, toa like upate like, lugha za kejeli na matusi hatuhusudu, humu ndani wote ni sawa.
Host[emoji4]Asante sana. Huku utajifunza mengi. Pia hakuna ubaguzi cha msingi ni heshima na upendo Kwa kila memba humu. Utafurahia huu Uzi.
Karibu sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh mihela yote hyo jamaa alishindwa kunyoa hata ndevu
[emoji4]Yako na Lee ilikuwaje?
Powa, za kwako???Ndugu yangu za siku nyingi?
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]tulipendeza shemela
Unapenda sura zao?wahindi wazuri sana