TOP TEN
Km mnavyojua week end huanza Ijumaa basi ndio hivyo tunaenda kiburudani zaidi...full mujiachia
Basi leo tuone harusi maarufu zilizotikisa mwa kutumia pesa nyingi
Maskini hujifariji kwamba harusi ni harusi tu ....utamu ni uleule
Karibuni
.........
10/Wayne Rooney & Coleen McLaughlin
Ilifungwa huko Portofine Italy 2008
Ikimuhusisha staa wa soka na mwongozaji wa vipindi vya TV
Ilihudhuriwa na wageni 64 tu na kugharimu takribani USD 15 Milioni
........
9/Paul McCartney & Heather Mills
Hii harusi ilifungwa huku ikiburudishwa na madansa wa tamaduni za kihinfi
Ilifungwa ufukweni huku jahazi pekee likigharimu USD 19,000
......