Ninayo na sijawahi kuiangalia.....nina kama miaka miwili sijaangalia movie.....nikiweka dk. 10 nazima[emoji134]The Good, The Bad and The Ugly. Ipo katika maktaba yangu na ndiyo nimemaliza kuiangalia - The Best Western (Cowboys) movie ever. Na kwa kiasi fulani inaakisi hali halisi maishani na watu wanaotuzunguka mpaka hata viongozi wetu, na mengineyo. Some are good! Others are Bad...and some of them are just Ugly!!!
Skunyingi[emoji3]hahahh mukongo kaanza lini kuombea
Ni kweli mukongo kwa shida na rahaa mpk kifoAlisema.....atakuwa nae kwa shida na raha.....kwanza nipo safarini , ataombewa na Mama Mchungaji[emoji3]
labda mama mchuchu kamfundishaHata mimi nashangaa. Ninavyojua Werrason anatisha kwa uchawi mpaka wanamuziki wengine huki Kongo wanamgwaya. Kama ameamua kuchanganya na maombi basi ni hatari juu ya denja![emoji23][emoji23][emoji23]
Usisemee nafsi[emoji12]mm sikiogopi mukongo ila nasemea tu kwa niaba
basi sikiogopi mmUsisemee nafsi[emoji12]
[emoji134] tunachafuliana C.V mukubwa???Hata mimi nashangaa. Ninavyojua Werrason anatisha kwa uchawi mpaka wanamuziki wengine huki Kongo wanamgwaya. Kama ameamua kuchanganya na maombi basi ni hatari juu ya denja![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji120] [emoji12]labda mama mchuchu kamfundisha
Ewaaaaah[emoji109]basi sikiogopi mm
Mzee wa lubumbashiInaonyesha una uzoefu!!!
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Hahahaaa..
Nilimwambia nikiweka picha sio heshima..
Amejua tuu nini keshavyonza...[emoji23]
Nifariji tu....ila mi nimekuelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haujajipendekeza bana
Nitaiinclude kwenye pesa ya mahaliNaomba ulipie tangazo lako!!!
Alisema.....atakuwa nae kwa shida na raha.....kwanza nipo safarini , ataombewa na Mama Mchungaji[emoji3]
MhSkunyingi[emoji3]
hahahhaa[emoji134] tunachafuliana C.V mukubwa???
hata mm namuona namuonaMndali..... Mndali nakuona nakuona.....
Mmh usiniambie upo serious jaman humu kila kitu ni utaniNifariji tu....ila mi nimekuelewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa ndio ninapomkumbuka lee wangu kama namuona sehemu hiziUna nini na BlessedHope ? Ina maana usipokuwa safarini basi mnakuwa pamoja?
Leo ni furahiday hebu tusitafutiane [emoji173]️ attack bila sababu,