Makapuku Forum

Mpaka hapo Sina la ziada kwenye magazeti kwa udhamini mnono wa shemela shunie, Nawatakieni asubuhi njema na sherehe njema za muunngano

Pia leo ndiyo nazaliwa
Asante kwa magazeti mkuu Shululu

Hongera sana kwa siku yako kubwa ya kumbukumbu ya kuzaliwa.

Namwomba Mungu akupe maisha marefu,hekima,furaha.

Akupe haja ya moyo wako

Ufanikiwe katika kila hatua ya maisha yako.

Mungu awe nawe daima .

UBARIKIWE
[emoji490] [emoji490] [emoji513] [emoji513] [emoji490] [emoji490] [emoji525] [emoji489] [emoji489] [emoji480]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
kweli kabisa mkuu tumtafute huyo shurkan wa zanzibar atupe ma point ya kuwateka
Haswaa

Yule jamaa alianza mapema kula mema ya muungano wazee wakaingilia.

Itakuwa kuna vitu alifanya sio bure mpaka mtoto aamue kujitosa afe kuliko kumkosa mtu wa bara.

Hivyo yule jamaa ana umuhimu sana kwenye harakati hii
 
Mambo ya Mungu ,siyo ya mwanadamu[emoji120]
 

Kwa wishes hii

Ushindwe wewe kupokea baraka kede kede
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…